vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Yani kama Argentina atakutana na France kwakweli France itabidi nimkate kwa mida kwanza . Mahaba yangu kwa messi ni zaidi ya mahaba kwa mume
Hili kombe ni la UfaransaTuna shida na hiki kikombe, waleteni hao mabishoo wa kibrazil tumalizane nao mapema
Labda kombe la kuwa na wachezaji wengi wa kiafrica
Najua ana mke na watoto
Ufaransa sisi ni kupeleka moto tu
We unadhani anachukua nani?Labda kombe la kuwa na wachezaji wengi wa kiafrica
Nauliza swali....kwann watu wanakumbatiana na kupigana vibao vya matako kwenye hii mechi. Nimeona wachezaji wawili wa poland wakiwa wanaingia...uwanjani. Hapa naangalia wachezaji wa poland na france wanahug na kuspank each other...whites wote naona wameoza.
Ndio maana amelingana magoli ya world cup na Messi...πππLeo ndio nahamini kwanini madrid roho inawauma sana kumkosa uyu kiumbe Mbape
Iko wazi na dunia nzima wanajua
Tuna shida na hiki kikombe, waleteni hao mabishoo wa kibrazil tumalizane nao mapema
Subirini kwanza mmalize kucheza muziki wa England..ππ...ndio mtabiri mengine..
Ila naamini japan korea hata wakifungwa wataonesha upinzan hawa jamaa wanajituma haswaMimi nilishasema haya matimj yaliyoingia kimchongo 16 Bora ni kupigwa tu ,hakuna namna ...
Timu Kama et Japan ,Korea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]