Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yani kama Argentina atakutana na France kwakweli France itabidi nimkate kwa mida kwanza . Mahaba yangu kwa messi ni zaidi ya mahaba kwa mume

IMG_7928.jpg
 
Uliona hata mbappe alivyobebwa baada ya kufunga na kuangaliwa machoni? Yani ni shida kubwa sana
Nauliza swali....kwann watu wanakumbatiana na kupigana vibao vya matako kwenye hii mechi. Nimeona wachezaji wawili wa poland wakiwa wanaingia...uwanjani. Hapa naangalia wachezaji wa poland na france wanahug na kuspank each other...whites wote naona wameoza.
 
Back
Top Bottom