Ila miafrika yanahitaji huo ugonjwa.Kushabikia Senegal ni kujitafutia magonjwa ya moyo tu.
Ngoja tuone mtanange ndo unaanzaHaya
Subiri uone
Mambo mengine hayahitaji akili nyingi kuyaona
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila miafrika yanahitaji huo ugonjwa.
Hapa jukwaani ni Ushahidi tosha.
Ngoja wakujibu wajuziHivi kuingia na watoto uwanjani huwa wanamaanisha kitu Gani?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mie najiulizaga sipatagi jibu,Hivi kuingia na watoto uwanjani huwa wanamaanisha kitu Gani?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tuishi hapo...Mimi Senegal [emoji1211] ata kama tunafungwa
Jana nliona wengine wameingia na wheelchairHivi kuingia na watoto uwanjani huwa wanamaanisha kitu Gani?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Duuh kila nikimuona mendy roho inanambia kuna kutoboa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakosa juice🤣🤣🤣Tuishi hapo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakosa juice[emoji1787][emoji1787][emoji1787]