Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kirahisi namna hii mkuu? Sio group stage hii ujuwe.
Mkuu natambua hilo ila ndo nnachokiona hapa ..

Kumbuka 16 bora kuna team 8 ambazo zimeingia kibahati tuu

Kwenye 16 bora nakuhakikishia hapa ..

Team 8 zitakazo toka ni mshindi wa pili

Nafkr mpaka sasa ushaona team zilizoenda robo fainal zote ni zile zilizoongoza kwenye group stage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Lee
Lakini HT 2-0 sio kwa hawa Senegal.
 
Quote me Uingereza wanatupwa nje na Senegal 🇸🇳 halafu Senegal 🇸🇳 anaenda kumfunga Ufaransa Robo Fainali, ila Nusu Fainali anakutana na Brazil 🇧🇷.

Keep it.

Britanicca
 
Goli la kwanza litafungwa kwa kichwa na mmoja wa mabeki wa senegal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…