Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tite ana squad depth kali sana,yaani akishindwa kuperform itakuwa ni maajabu ya mpira tu.ila naamini atatoa challenge kubwa kwa team pinzan
Beki kidogo inatia shaka hasa upande wa kulia ila huko mbele ni hatari sana!!
 
Game ya leo bayern munich, sadio mane dk ya 20 katolewa sijui jeraha lake likoje.
 
Tunisia ndio sina imani nao kabisaaa. Hawa makundi tuu wanaaga mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…