Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tite ana squad depth kali sana,yaani akishindwa kuperform itakuwa ni maajabu ya mpira tu.ila naamini atatoa challenge kubwa kwa team pinzan
Beki kidogo inatia shaka hasa upande wa kulia ila huko mbele ni hatari sana!!
 
Kikosi cha Senegal
C2968F34-42FB-44EB-870C-80FF60CC9B0E.jpeg
 
Game ya leo bayern munich, sadio mane dk ya 20 katolewa sijui jeraha lake likoje.
 
Tunisia , Ghana na morroco zikitoboa kwenye makundi yao
mniite mbwa nmekaa palee varandani

Ghana na Tunisia zitafurumushwa virago mapema kabisa.( Very dangerous groups)

Senegal akikaza sana ataweza kuishia robo
Cameroon tusubiri kikosi



Sent using Jamii Forums mobile app
Tunisia ndio sina imani nao kabisaaa. Hawa makundi tuu wanaaga mashindano
 
Back
Top Bottom