Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ndugu zetu Nigeria wanatia Huruma Sana yaani hawana tofauti Na Taifa stars,wanacheza Na Ureno mechi YA kirafiki wanakimbia kimbia tu uwanjani
Africa safari ni ndefu yaani kama hawa Nigeria wachezaji wanatia huruma.

Africa atakayejitutumua kwa mbali labda Senegal na cameroon

Japo naskia jembe mane anainjury atafutiwe mbadala wake
 
Katika zote nzuri ni C'EST LA VIE umeimbwa na CHEB KHALED.

Huo ndio ulipaswa kuwa official song, sio takataka ya Davido na wahuni wenzake HAYYA HAYYA wa hovyo na hauna vibe kama wa huyo mvaa kobazi. Utafute utakuja kunishukuru hapa.
Usiuite takataka jamani,. Mbona sio mbaya. Mimi naona Bora huu kuliko official song ya 2018
 
Rasmi:
70C08323-A01B-48E9-8A2E-75BC5CADDAB1.jpeg
 
Back
Top Bottom