dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
amerika ya kusin mara 23 sio?Dondoo:
Katika Fainali 21 zilizopita za Kombe la Dunia, timu za Ulaya zimeingia mara 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amerika ya kusin mara 23 sio?Dondoo:
Katika Fainali 21 zilizopita za Kombe la Dunia, timu za Ulaya zimeingia mara 19
Ndugu zetu Nigeria wanatia Huruma Sana yaani hawana tofauti Na Taifa stars,wanacheza Na Ureno mechi YA kirafiki wanakimbia kimbia tu uwanjani
Africa safari ni ndefu yaani kama hawa Nigeria wachezaji wanatia huruma.Ndugu zetu Nigeria wanatia Huruma Sana yaani hawana tofauti Na Taifa stars,wanacheza Na Ureno mechi YA kirafiki wanakimbia kimbia tu uwanjani
Inawezekana kufika robo bila hata huyo maneMane out of the world cup....senegal mambk ya robo final tusahau
Hawa jamaa kila kitu wanatumia pesa
Shida ya nini bwana kama hela ipo. Sasa si bora hao wamefanya jambo kubwa. Nchi ya watu mil 3 wanahost world cup wakati sie mil 60+ hatuna majiHawa jamaa kila kitu wanatumia pesa
Usiuite takataka jamani,. Mbona sio mbaya. Mimi naona Bora huu kuliko official song ya 2018Katika zote nzuri ni C'EST LA VIE umeimbwa na CHEB KHALED.
Huo ndio ulipaswa kuwa official song, sio takataka ya Davido na wahuni wenzake HAYYA HAYYA wa hovyo na hauna vibe kama wa huyo mvaa kobazi. Utafute utakuja kunishukuru hapa.
Mambo ya GSM hadi ulaya yapo na huko mwendo wa bahasha za kaki ?(joking)Kuna tetesi zinasambaa mtandaoni kuwa Wachezaji wa Ecuador wamepewa pesa na wenyeji Qatar ili waweze kufungwa mechi ya ufunguzi.
Tuko pamoja kiongozi!Kwa hiyo mzalendo wa kushabikia timu za Africa nitakuwa peke yangu humu?
Waingereza watapata tabu sana wanavyopenda pombe
Senegal inatoboasioni timu yoyote ya Africa ikitoboa robo fainal