Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu hujanielewa, yaani hao wenye nyekundu mchezaji wao ndio alikuwa wa mwisho angalia vizuri picha hizo.. sasa imekuwaje offside ilhali timu shambuliwa ndiyo ilikuwa na mchezaji wake mwishoni?
Bro sheria za offside naona zinakusumbua mtu wa mwisho sio lazima awe kipa ni mchezaji yoyote watimu inayoshambuliwa
 
Bro sheria za offside naona zinakusumbua mtu wa mwisho sio lazima awe kipa ni mchezaji yoyote watimu inayoshambuliwa
Nimeshaeleweshwa kwenye uchambuzi, ila kwa unachokieleza hapa sio sahihi kulingana ma mazingira ya Hilo tukio. Kwa kuwa kipa alitoka kucheza MPIRA, mchezaji wao akawa nyuma ya goalkeeper hivyo alitakiwa awepo mwingine walau wawili na si mmoja kama iliyokuwa kwa tukio hilo
 
Back
Top Bottom