Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kaka kwaiyo Zambia unailinganisha sengal

Bora ungenyamaza ukaficha ujinga

Senegal wana watu kama huamini weka dau Leo hafungwi na uholanzi abadan asilani
Nan kakwambia nimewalinganisha na Zambia mzee nimekupa uhalisi wa mambo maana inaonekana Senegal kuchukua Africon watu wanafanya ndio iwe timu kubwa kwanza ndio mara ya tatu kushiriki 2002, 2018,na 2022 ukubwa unatoka wapi kama kucheza robo fainali Ghana mwenyewe alicheza afu unasemaje Senegal timu kubwa ushiriki wake ni shida afu unakuja kumpambapamba na kama kushiriki kombe la Dunia Zambia pia amewah pata tiketiki unaonekana hujui lolote kuhusu soka
 
Timu zote zilizopanga unga mkono ushoga, zimesema hazitaunga kwa kuvaa kitambaa cha 1 Love, hiyo imefuatia baada ya FIFA kusema itatembeza kadi za Njano kwa yoyote atayevaa
 
Senegal ni wakawaida usitishike na ubingwa wa Africon Ata Zambia alibeba ingekua ni ivo Ivory coast angekua alishachukua kabisa kombe la Dunia Kuna kipindi walikua na drogba,kole toure,Yaya toure,kalou,dider zokora ila waliishia kufika wapi mzee mpira hazichez jezi
Senegal wamefika Robo mkuu, na Ghana pia ni wazuri kombe la dunia mara kwa mara wanavuka makundi.

senegal wamecheza Mechi 8 world cup wameshinda 3, draw 3 na kufungwa mara 2,
world cup.png


hii Table inaonesha timu za Ki Africa world cup, Senegal ndio timu pekee ya Ki Africa ambayo imefunga magoli mengi kuliko ilivyofungwa.

hio robo Fainali walivyotoka kundi lao lilikuwa na Ufaransa, Denmark, Uruguay zote ni Magiant na akatoboa bila kufungwa mechi hata 1.

hata 2018 wametoka makundi lakini walipambana, point 4 mara nyingi zinatosha kufuzu.
 
Etoo anakwambia fainali ya World cup mwaka huu ni cameroon na Morocco.
Anajipa matumaini hewa..muache game zianze Pa1 mpr unadunda lkn kundi alilopo mpr kudunda kaz sana[emoji23].

Me kuna dark horse wng wa 2 nawaona kbs m1 atasumbua sana kuna Serbia au Denmark m1 hapo atakua ni kikwazo kwa team zitakazo cheza kifaza watatoka.
 
Timu za Africa tu huwa zina under perform ila Senegal sio timu ya kawaida.

Bila Mane wana Ismaila Sarr, Eduardo Mendy, Koulibaly, Idrissa Gueye, Kouyate wote wamecheza Epl hawa.

Bado wachezaji wengine ligi za Ulaya, kikosi chao kina mastar wa kutosha.
Hizi timu za africa zinakuwaga na wachezaji wenye majina lakin hawana muunganiko kwenye timu ya taifa kila mtu anataka acheze aonekane yeye kama yeye
Utashangaa serbia au denmark wachezaji wake hawafahamiki lakin wanacheza kitimu mpira mzuri wanaelewana
 
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England XI vs. Iran:
Pickford,
Trippier,
Maguire
Stones,
Shaw,
Rice,
Bellingham,
Mount,
Saka,
Sterling,
Kane.
20221121_153851.jpg
 
Nan kakwambia nimewalinganisha na Zambia mzee nimekupa uhalisi wa mambo maana inaonekana Senegal kuchukua Africon watu wanafanya ndio iwe timu kubwa kwanza ndio mara ya tatu kushiriki 2002, 2018,na 2022 ukubwa unatoka wapi kama kucheza robo fainali Ghana mwenyewe alicheza afu unasemaje Senegal timu kubwa ushiriki wake ni shida afu unakuja kumpambapamba na kama kushiriki kombe la Dunia Zambia pia amewah pata tiketiki unaonekana hujui lolote kuhusu soka
Nmesoma jina lako UNITED ya ...nikapata solution kuwa Manchester United Fan's many are brainless

Ivi unakijua kikosi cha Senegal kilicho au unaongea tu?

Kwann kinapewa nafasi sababu kimejaa wachezaji wazuri na wanaojituma sana

Sio inaongelewa sababu ya AFCON hapana Senegal ni team yenye wachezaji washindani

Na yupo kundi ambalo leo akisare basi uhakika wa kupita ni asilimia 80%
 
mashabiki wa Qatar tupo wangapi,kuna kifurushi maalum cha kanzu nimepokea leo hii kwaajili ya kushangilia timu yetu.
 
This is one of the breakfast’s fans receive in the World Cup fan villages.

It’s part of the £200 a night package.
Kibongo bongo mzigo haukati hata efu 30 🤣
 
Back
Top Bottom