marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Naomba source niipitie hii habariTimu za Afrika zikishaanza kugombania pesa ndo basi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba source niipitie hii habariTimu za Afrika zikishaanza kugombania pesa ndo basi tena
Nan kakwambia nimewalinganisha na Zambia mzee nimekupa uhalisi wa mambo maana inaonekana Senegal kuchukua Africon watu wanafanya ndio iwe timu kubwa kwanza ndio mara ya tatu kushiriki 2002, 2018,na 2022 ukubwa unatoka wapi kama kucheza robo fainali Ghana mwenyewe alicheza afu unasemaje Senegal timu kubwa ushiriki wake ni shida afu unakuja kumpambapamba na kama kushiriki kombe la Dunia Zambia pia amewah pata tiketiki unaonekana hujui lolote kuhusu sokaKaka kwaiyo Zambia unailinganisha sengal
Bora ungenyamaza ukaficha ujinga
Senegal wana watu kama huamini weka dau Leo hafungwi na uholanzi abadan asilani
Senegal wamefika Robo mkuu, na Ghana pia ni wazuri kombe la dunia mara kwa mara wanavuka makundi.Senegal ni wakawaida usitishike na ubingwa wa Africon Ata Zambia alibeba ingekua ni ivo Ivory coast angekua alishachukua kabisa kombe la Dunia Kuna kipindi walikua na drogba,kole toure,Yaya toure,kalou,dider zokora ila waliishia kufika wapi mzee mpira hazichez jezi
Anajipa matumaini hewa..muache game zianze Pa1 mpr unadunda lkn kundi alilopo mpr kudunda kaz sana[emoji23].Etoo anakwambia fainali ya World cup mwaka huu ni cameroon na Morocco.
Hizi timu za africa zinakuwaga na wachezaji wenye majina lakin hawana muunganiko kwenye timu ya taifa kila mtu anataka acheze aonekane yeye kama yeyeTimu za Africa tu huwa zina under perform ila Senegal sio timu ya kawaida.
Bila Mane wana Ismaila Sarr, Eduardo Mendy, Koulibaly, Idrissa Gueye, Kouyate wote wamecheza Epl hawa.
Bado wachezaji wengine ligi za Ulaya, kikosi chao kina mastar wa kutosha.
Nmesoma jina lako UNITED ya ...nikapata solution kuwa Manchester United Fan's many are brainlessNan kakwambia nimewalinganisha na Zambia mzee nimekupa uhalisi wa mambo maana inaonekana Senegal kuchukua Africon watu wanafanya ndio iwe timu kubwa kwanza ndio mara ya tatu kushiriki 2002, 2018,na 2022 ukubwa unatoka wapi kama kucheza robo fainali Ghana mwenyewe alicheza afu unasemaje Senegal timu kubwa ushiriki wake ni shida afu unakuja kumpambapamba na kama kushiriki kombe la Dunia Zambia pia amewah pata tiketiki unaonekana hujui lolote kuhusu soka
Hi Lee
Uko wewe peke yako 🤣mashabiki wa Qatar tupo wangapi,kuna kifurushi maalum cha kanzu nimepokea leo hii kwaajili ya kushangilia timu yetu.
Hahahahaa pole na kaziHi Lee
Naona muda umefika
Bado niko mzigoni
Nitawasha kwenye simu 😋
Kibongo bongo mzigo haukati hata efu 30 🤣This is one of the breakfast’s fans receive in the World Cup fan villages.
It’s part of the £200 a night package.
Yule mbaya wa taifa stars 🤣🤣🤣🤣Diatta yupo leo [emoji23][emoji23][emoji23] kikosi cha senegalbaha
Thank yuuuuuHahahahaa pole na kazi