Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu kwani haya matatu wamefungwa wlsi wakiwa wamepaki basi

Nicho kigundua mfumo wa kupaki basi unafanya kazi kwa timu ambayo haina Quality ya wachezaji wakubwa
Unachosema ni sahihi
 
Wewe sie hatujui lolote hapa duniani. Mpira wenyewe ndio kabisaaaa. U17 u20 u23 zote timu hazichezi afcon ndio utegemee kucheza wworld cup. Tuache utani
Ah mzabzab acha hizo bwana unatukosea kusema hatujui lolote..sie ni wataaramuna wa mizagamuano tunafanya vyema upande huo tafadhali
 
Uzuri wa Mashindano haya aibu huwa imezoeleka

Tanzania tungepeleka timu hata tungepigwa 5 bila bado isingekuwa noma na wala isingeonekana sisi ni vibonde wa mwisho

Kuna timu humu zitapigwa goli nyingi sana na mtaani kwao mambo yanaendelea kama hakuna kitu kimefanyika
 
Back
Top Bottom