Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu rule namba 1 ni kwamba hili kombe kivyovyote vile lazima tuchukue

Tunachukuaje? Hilo ni swali ambalo halina majibu

Ila tutahakikisha mpaka kombe tunalipata basi hapa kati kati tutakuwa tumehama hama timu mpaka tulipate
Umenishinda tabia mkuu
 
Taabu nilipata kule afrika kusini

Mechi ilikuwa ya muhimu sana

Uruguay vs Ghana

Ilitokea dkk za lala salama lui suares aliudaka mpira na kuuzuia kwa mikono yake

Suarez akala umeme refa akatenga tuta

Asamoa gyan akiwa kwenye ubora wake alikosa tuta

Mzee kofi annan aliita waandishi wa habari alilia machozi

Upo against sivyoo
Utapata tabu sanaaa
 
Mkuu rule namba 1 ni kwamba hili kombe kivyovyote vile lazima tuchukue

Tunachukuaje? Hilo ni swali ambalo halina majibu

Ila tutahakikisha mpaka kombe tunalipata basi hapa kati kati tutakuwa tumehama hama timu mpaka tulipate
Nimechekaaa 🤣🤣🤣🤣
 
Taabu nilipata kule afrika kusini

Mechi ilikuwa ya muhimu sana

Uruguay vs Ghana

Ilitokea dkk za lala salama lui suares aliudaka mpira na kuuzuia kwa mikono yake

Suarez akala umeme refa akatenga tuta

Asamoa gyan akiwa kwenye ubora wake alikosa tuta

Mzee kofi annan aliita waandishi wa habari alilia machozi
Ya Asamoah hata mie iliniuma sanaaaaaa

Mama akasema hebu punguza sauti, sikia nchi nzima imenyamaza 🤣🤣
 
Back
Top Bottom