Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Senegal kilichowauwa mentality ya kwenda kutafuta sare wangeamua kwenda kutafuta matokeo tungekuwa tumeshapata ushindi all in all striker hatuna
Ukweli ndio huo....ata ukiangalia katika afcon group stage walifunga goli moja tuu tena la penalty.
Ili uwe na mafanikio lazima uweze kufunga na pia uweze kuzuia magoli
 
Ifike mahali sasa waafrika tuache kushindana na wazungu kwenye mpira tufanye mambo yetu😥
Kama wao wenyewe ndo walivumbua mpira itawezekanaje tuwashinde uwanjani??
 
Yaani nilipitia makundi hili ndio jepesi jililiona hatutoboi tena msimu huu.

ila kiuhalisia team zetu hata wachezaji wa kiwango cha juu ni wa kutafuta sana. wengi ni wale wanatoka team za kawaida sana ulaya.
Nilichobaini nimegundua kiwango cha mpira kwa muafrika aliyezaliwa Afrika ni cha mashaka sana

Hapa nakumbuka kauli ya Ferguson kuwa Mbappe angezaliwa Afrika asingekuwa hivi alivyo

Senegal wameniangusha sana, yani hizi goli zingefungwa first half isingeniuma sana

Ila second half dakika ya 85 na lile la mwisho dakika ya 98 sekunde ya 30

Basi tu
 
Soon tutajumuika wote

Nimewapa nafasi ya mwisho kwa hawa waliobaki nicheki upepo wao

Wakifakisha nakuja na formation yako japo penye Argentina hapo atakaa Portugal na Netherland atapungua kupisha nafasi ya France
Sawa mkuu sio mbaya tunakutana kwa Brasil
 
Mchawi wetu wa leo ile mbwa choko iliyomuumiza mchezaji wetu Kouyate.
Mi nilihuzunika sana jitu la kazi kutoka nikajua lazima watatumwagia wazungu ndani
 
Back
Top Bottom