McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
1E/T wameongeza dakika ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1E/T wameongeza dakika ngapi?
Mikeka yetu imechanikaHuu uzI unaenda spidi kinoma.
Duuh!
Ikiwezekana hao wakubwa wote wachezee mbupubado france nae lolote linaweza kumkuta
4 yellows, hazina ishu sana kulinganisha point 3
Amini kwamba hapatakalika ikitokea CR kabeba ndoo, kwanza ile tu wametobo final [emoji1].Bora akose Messi,mkuu
Inatosha aliyoipata Maradona
Acha Ronaldo naye aichukue kwa ajili ya Ureno
Dakika 8Tabiri wataongeza dakika ngapi? Mimi 7
Li Refa ni la wapi hili ?Yaani linawabeba Argentina kweli kweli.Leo hii dimaria hata ku drible mpira imekua shida li otamendi linarukuruka tu uwanjani kama livuta Bangi na hili li refa lishamba kinoma
Daaaah8 min zimeongezwa
Jamaa alifanya jambo zuriAliyeanzisha hii thd asante sana Mkuu.
Hamna mkuu...mambo yashaishaMechi droo hii