Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Angemfunga si ata copa america alimfunga final Derby yao
Alimfunga ila angalia line up ya kwanza na sub, yaani ni bora umchezeshe Marcos Rojo kuliko Otamendi....wameshachoka

Hata Di Maria ile kimbiza yake ya mwanzoni hana tena
 
9ACF23B0-7236-46AD-B1AC-49CCA907D268.jpeg
 
Mule mule mm
Nambari one ni Brazil
Argentina
Senegal
Wakifeli hao kufika robo fainal basi ntatafuta timu nyingine ya kushangalia ila sio German na France 😆 😆 😆
Huwezi ukachukua Brazil na Argentina kwa wakati mmoja wakati hao ni mahasimu wakubwa, we chukua moja usiwe vuguvugu mkuu 🙄🙄
 
Back
Top Bottom