Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #4,561
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bus ni noma ndo maana Rodri anachezeshwa bekiNilikua natafuta hii comment tang game imeanza.
Asee jamaa ukiangalia game kama hayupo lkn ukiwa mtu wa kufatilia details za game kwa makini jamaa anavo cheza mpr unaweza Dhani ni mchezo mrahis sana asee. Yan ni pivotal sana kwa kila ki2 spain wanachofany.
Mm hapa[emoji1787],sa sjui cheko la maumiv,ilkikua kama smile flan hivi,kwamba hiiii alooo tumeyakanyagaaaaaNani kamuona kocha wa costa rica akicheka wakati anatandikwa magoli?[emoji23][emoji23]
Team ipi ngumu?Bado sio sababu, hawatafika mbali. Hawajakutana na timu ngumu.
Noma wamepiga mtu kama ngomaUkatili,ukicheka na vitoto yanakukuta ya Argentina
Elfu 70Sawa. Taja amount
Rudger yuko madirid wewe..walaumu madiridOyaaa we jamaaa Chelsea wachezaji wenu wanaharibu saana WC
Rudiger bek mbovu sana
Toka kombe bdo nasema hiliMapema hivi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
DuuuuhKifurushi cha wiki. Seven shots on target seven goals...spain nomaaaa
Ila wewe Suzy weweAcha uongo final wc ilikua argentina na germany. Germany alimpiga moja
lile cheko siyo la maumivu chief..he was like i do not care anymore hahahahahaMm hapa[emoji1787],sa sjui cheko la maumiv,ilkikua kama smile flan hivi,kwamba hiiii alooo tumeyakanyagaaaaa
Golden boyGavi kapiga goli kali sana
Ila wewe @Suzy wewe Final za means michezo ya kombe la dunia
Mmmh hamna maumiv lazma yawepolile cheko siyo la maumivu chief..he was like i do not care anymore hahahahaha
Goal tam sana lileGolden boyView attachment 2425393