Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

How come wakaipa Ufaransa kombe la dunia?
Pale akili iliyotumika ni ya Didier Deschamps - Mzungu, na Uwanjani pia Whites walikuwepo

Hakuna Kocha mweusi kawahi kuifikisha timu hata quarter au half final ya WC....mwenye mafanikio zaidi ni Cisse tu na AFCON ya mwaka jana aliwazidi Waarabu akili [emoji23]

Ni kweli Blacks tumejaliwa Physical strength na speed ila Cognitively POOR tangu enzi
 
Screenshot_20221124-071449_Sofascore.jpg
 
Sema Tanesco hii ni too much ...noana siku hizi wana mpango kazi wa kukata miti iliyokaribu na nguzo ..ndo kazi waliyonayo kwa sasa
 
Back
Top Bottom