Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

20221124_162645.jpg
 
Yani acha tu siwapendi haswa huyo suarez sitaki hata kumuona aisee
Hahaha sema Gyan na yy alizngua San.. Ile Ghana mkuu trust me ilikua inaweza kwnd final sema tu ndo ivo sometimes bht haipo upande wenu. Gyan anakwambia ile penalty imemtesa sana kisaikolojia miaka ming sana anafikiria ilikuaje ikacheza kwny mtambaa panya pale.
 
Back
Top Bottom