Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Africa tunachojua ni kuimba nyimbo za Taifa kwa hisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Africa tunachojua ni kuimba nyimbo za Taifa kwa hisia
[emoji23]Bd una machungu ya Suarez na Ghana sioKila la heri korea, siwapendi uruguay mimi.
Kweli kabisa...[emoji23][emoji23] Ndo maana huo upande maana kuna wazee wote Ceres na Godin umr umeenda.. Ndo maana una muona Fede mda mwng wakishambuliwa yuko huko kucover hao wazee walau wakipitwa awepo.
Ukiwaona huo uzalendo[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani acha tu siwapendi haswa huyo suarez sitaki hata kumuona aisee[emoji23]Bd una machungu ya Suarez na Ghana sio
Inaki ni machachari tuBLACK STARS AT LEAST INA WACHEZAJ WAJANJA
KUDUS, PARTEY,INACK WILLIAM
HOPEFULLY WATAMFUNGA UYO URENO
Umeziona penetration pass[emoji2406]wamekosa goal la wazi kbs dah
Hahaha sema Gyan na yy alizngua San.. Ile Ghana mkuu trust me ilikua inaweza kwnd final sema tu ndo ivo sometimes bht haipo upande wenu. Gyan anakwambia ile penalty imemtesa sana kisaikolojia miaka ming sana anafikiria ilikuaje ikacheza kwny mtambaa panya pale.Yani acha tu siwapendi haswa huyo suarez sitaki hata kumuona aisee
Mzee Yan izo pass wanazopiga hata [emoji1257] akishinda shughuli kaiona had ssUmeziona penetration pass