Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
Yeah bahati haikua yaoWamejitahidi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah bahati haikua yaoWamejitahidi sana
3 - 2 si mbaya sana jitihada zilikiwepo. Mchezaji gan aliwabeba?Yeah bahati haikua yao
Kumbe ni mnyamaCR7 ni mnyama wewe acha apewe sifa zake
🤣🤣🤣Wamejitahidi sana
Tena na Portugal wamebebwa tutaHata kama tumepoteza ila strugling uwanjani ilionekana
Tofauti na wale makirikiri waliotangulia
Ata zile bao offsideTena na Portugal wamebebwa tuta
Tulia wewe.Kumbe wengi mmeliona lipuuzi kweli kila kitu Ronaldo so stupid
ChaiNimekaa na beki 3 wangu hapa nae ana watch game eti anasema simba na yanga wanacheza kisa ameona njano na nyekundu.
Wenzetu wanaandaa team na plan za muda mrefu, sisi ni mwendo wa kuokota-okota tu.Jamani hawa serbia sio wakubeza...hii timu wachezaji wamekuwa pamoja toka u20 so tusiwachukulie poa.
Anyways time to sambaaa bbyyyyy
Mnawaboa wakaka humu mtakosa wa kuwawowa 😆Tall white and handsome 🤪
Sasa nkidanganye ili iweje...kama unaona chai potezeaChai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie endeleeni kumtamani Neymar ila sisi sura kama gari za tata ndio tupo Tz
Ronaldo, felix ,leao Portugal Ghana ayew,bukari3 - 2 si mbaya sana jitihada zilikiwepo. Mchezaji gan aliwabeba?
Tulia ni spika wa bunge fala wwTulia wewe.
Imejaa walamba lips sana.Namisi kile kizazi cha akina Dunga, Bebeto, Ronaldo, Rivaldo nk. Hii Brazil ya sasa haina mvuto kivile