Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kosa kubwa mnalofanya ni kuwa underestimate vijana wa BidenHawa wa England bora wawekwe goli ili waache ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa kubwa mnalofanya ni kuwa underestimate vijana wa BidenHawa wa England bora wawekwe goli ili waache ujinga.
Watu mtashangazwa nyie tulieni tuMarekani kumbe wapo wapo
Orange ni hao uholanzi makaburu Dutch wana roho mbaya hao ukipata demu wa kiholanzi mpakie mcongo wana roho mbaya sana hao
Unawadharau vipi ikiwa kila player anacheza kwenye team za ligi tano bora za dunia?The USA sio wazembe
Sio wazembe kbs.. Hata sik ile Iran angeamua kwnd mguu kwa mguu na England asingefungwa zile goal zote alimuheshim sana akawa kapaki bus tu.The USA sio wazembe
Upo na Mexico aisee
Kazi kwako
[emoji1][emoji23][emoji1]Mikeka inakatika katika