vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
It's not all about money
Hujaona hiiView attachment 2428021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaona hiiView attachment 2428021
Naamini Morocco ni wazuri kuliko TunisiaRefaree wa leo ana viwango vya juu sana. Wish apewe fainal achezeshe.
Tunisia kabakiza game ngumu dhidi ya France. Sina shaka ataungana na Qatar kuyaanga mashindano.
Haya ndio mambo sasa. Hapo ata ukivaa jezi ya timu ya taifa unakubali kuvunjika kupambania taifaHujaona hiiView attachment 2428021
Hawana timu hawa bwana....wacha wakatulie home tuu.Refaree wa leo ana viwango vya juu sana. Wish apewe fainal achezeshe.
Tunisia kabakiza game ngumu dhidi ya France. Sina shaka ataungana na Qatar kuyaanga mashindano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa Saudi Arabia wameanza tambo mapemaaaa!View attachment 2428029
Sie tulishindwaje kuwapatia wale wadada u17 ata kila mmoja ki toyota rush kwa kufika robo finali...africa bwana upuuzi tuuHujaona hiiView attachment 2428021
[emoji23][emoji23]Sie tulishindwaje kuwapatia wale wadada u17 ata kila mmoja ki toyota rush kwa kufika robo finali...africa bwana upuuzi tuu
Wajinga hawaMashabiki wa Saudi Arabia wameanza tambo mapemaaaa!View attachment 2428029
Wazungu wenu safari hi wataisoma namba kwa watu wa Mecca na madinaHawa wasaudi toka wamfunge Messi wanavutaaa wenzie kabisa as if wanacheza ndondo bwana
Natamani wafungwee
Mbona waarabu ndo wana ushoga OG sasa hadi wazungu wanaiga.Lzm wazungu wakome kuingiza mambo ya ushoga ktk mpira waarabu watawapelekea Moto mbaya