mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Alafu miezi michache iliyopita ilikuwa kwenye fifa top of table ( timu yenye ubora zaidi duniani)Hamna kitu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu miezi michache iliyopita ilikuwa kwenye fifa top of table ( timu yenye ubora zaidi duniani)Hamna kitu kabisa
Aisee40,000 mfukoni faida
Babu vipii, jana tumemdunga mexico, leo tumemdunga belgium hahhaaaWachezaji wa Morocco wote hucheza mpira wa kulipya nje ya nchi, kwahiyo taifa star kama malengo ya kushiriki kombe la taifa tunao tuanze na kupeleka wachezaji wetu nje, soma la simba na Yanga halitupeleke popote
Kuwa serious basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi mambo za VAR mie kuchokaView attachment 2429141
Ulisuka?40,000 mfukoni faida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipofu View attachment 2429145 kaona mwezi leo
Waende wakiendagaBelgium watoke tu
Ndio safari yao imewadia hiyo,dereva anakunywa maji kwanza kisha aweke gear.Belgium watoke tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio safari yao imewadia hiyo,dereva anakunywa maji kwanza kisha aweke gear.
Wekeni msimamo wa kundi
Croatia wenyewe sio wazuri, anaweza pita BelgiumNdio safari yao imewadia hiyo,dereva anakunywa maji kwanza kisha aweke gear.