Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mechi gani tena hiyo. Ah wee kweli unataka tz iendenworld cup sii tutaharibu mashindano ya watu
Zikiwa timu 64 makundi 16 inamaana timu zitacheza kawaida kama sasa hivi sema itaongezeka round moja ya mtoano. Kama Europa ligi kabla ya robo unacheza mechi 2 za mtoano badala ya moja.

Mkuu kwa Timu kubwa mfumo huu ni mbaya ila kwa nchi ndogo ni mfumo mzuri.
 
Miaka ya Baadae tunaweza kwenda, wanaongeza timu.

Huoni mataifa Africa tulienda walivyoongeza timu.

World cup ijayo kutakua na timu 48 badala ya 32, na sitashangaa wakiongeza hadi 64.
Hata Afrika ikipewa timu 10 Tz haitaenda
 
Zikiwa timu 64 makundi 16 inamaana timu zitacheza kawaida kama sasa hivi sema itaongezeka round moja ya mtoano. Kama Europa ligi kabla ya robo unacheza mechi 2 za mtoano badala ya moja.

Mkuu kwa Timu kubwa mfumo huu ni mbaya ila kwa nchi ndogo ni mfumo mzuri.
Ah hivi vitimu dugu wacha viendelee kukaa nyumbani maana hawana akili tuu.
 
Croatia anakibarua ameshaonjwa
Hii game inatakiwa iishe hivi hivi msimamo ubaki hapo
20221127_190311.jpg
 
Back
Top Bottom