Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Leo naona kama Spain anafungwa na Germany... Spain wamekosea kumuweka RODRi Kuwa beki, wamekosea kumuacha Ansu fati nje.. wamekosea kumuanzisha Jordi Alba.. wamekosea kumuweka busquet yuko slow sana....

Spain ni timu yangu lakini leo anafungwa.. niko pale nimekaa
 
Usiseme hivyo ujue wanaweza funga hainaga formula.
 
Back
Top Bottom