Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahih kbsaa [emoji1787]Kweli Ghana waliibiwa ushindi wao na Portugal.
Hata mm nakupa tusi Ila siyo tusi baya tu labda acha ufala Hilo nalo tusiKuna mpuuzi mmoja nilimwambia Ghana anafika fainali za world cup. Toka juzi pamoja ya kwamba alifungwa na Ureno.
jamaa alinitukana sana.
Unaona sasa huna akiliIli Tanzania ifaulu kimpira yatakiwa ipeleke wachezaji wengi nje ya nchi wacheze
SawaHata mm nakupa tusi Ila siyo tusi baya tu labda acha ufala Hilo nalo tusi
WasharuhusuGhana wasije wakaruhusu goli hata 1 itakuwa mbaya sana kwao
Watulize kwny warud kwny basics wacheze mpr game ipo mikononi mwao bd.Ohooooo balaa lishaanza
Just clicked thanks. Case closed!Hakuna sare hapa.
Hii game hatriiii sanaGoal la kizembe kabisa