Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Mstaafu wa Marekani Jimmy Carter mwenye miaka 98 akiwa kitandani huko Atalanta Georgia, anaweza akawa anatoneshwa maumivu ya mwaka 1980 katika Operation Eagleclaw kule nchini Iran iliyopelekea kupoteza Urais wake katika uchaguzi uliofata.Leo Kuna mechi za kihistoria, ndugu Kwa ndugu na adui Kwa adui. Amaizing
KafanyajeHuyu sasa ndio Maguire
Mambo yakibaki hvyo hvyo USA watasepeshwa35'
Bado mambo yale yale.
Goli Halali HilooVAR sijui kama itaidhinisha hili goli
Yaani nimehama chanel na goli ndo linafungwaWauza drone chaliiii
Neti tayari