Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja ndo atafuzu, mmoja anarudi home depend na mechi yao itaishajeOh
Kwahiyo na USA na Iran bado Wana mechi zingine?
Nishachanganya madesa
Waongeze plz Ni dhambi Sana kufungwa na wandamanaji [emoji23]USA wamepungua kasi
Yaani kilichobakia kutembea kwa tukutuku tu.Kabisa sio kwahio route 🤣🤣🤣😁😁
Kikosi leo ni tofauti kabisa.Wamekutana na wabovu, akicheza na USA anakuwa na nidhamu
Saizi wamepoa ile mikiki imepunguaHali vip uko babu Niko na UK Happ mdg mdg leo DStv wameniktili
USA msiwa underestimate hata mpira wenyewe tu ulionesha kuwa England walizidiwaKikosi leo ni tofauti kabisa.
Nasikia watapanda hadi treni huko🤣🤣🤣!!Yaani kilichobakia kutembea kwa tukutuku tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1022] nilitaman atokee huyu mbwaa.Shenzi sanaaa UK atoke alfu tumtizame Nani muarabu gani [emoji57]
Hapana dada hawana ikitoka hyo imeisha hyo Iran atarudi kwao na ndege ya saa 12:00 am kwenda kwao kesho kuendelea na maandamanoOh
Kwahiyo na USA na Iran bado Wana mechi zingine?
Nishachanganya madesa
Yaah Wales nao faster tu kesho hawatakiwi kuonekana QatarEti Wales safari imewakumba,
bila shaka Hawa itakuwa ndege ya kwanza kuondoka Qatar
Qatar nao wenyewe watasafiri tu Kwa Coaster[emoji2]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app