Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
.Una mawazo mazuri. Ila hayawekezekani. Mtakutana na sisi tutawakandamiza.
Mie sinaga unafki wa kusema huyu Mwafrika. Senegal ombeni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Una mawazo mazuri. Ila hayawekezekani. Mtakutana na sisi tutawakandamiza.
Mie sinaga unafki wa kusema huyu Mwafrika. Senegal ombeni sana.
Rashid Mohamed Makame Fuad toka Chakechake, PembaRashidiiiiiii
Uchovu mkuu hauna baunsaHadi wanaume mnasinziaga [emoji1787][emoji1787]
Tell herSasa tusisinzie tumekuwwa maroboti ama!? [emoji23] [emoji23]
Usingizi hauna komando.
Senegal anaangusha tembo kama IHEFU trust meRasmi ni timu Senegal ikifurushwa ndo narudi Brazil..uzalendo kwanza
Argentina asiwaze ubingwa Kwasababu alifungwa na Saud ArabiaNdoto zingine za kipumbavu USA tu umesare nae unawaza ubingwa?
Nilishangaa kundi kupangwa kirafiki hivi na adui mmojaHili kundi B Iran ndio alikuwa mpweke hapa maana USA, WALES na ENGLAND wote ndugu.
Awaze kuvuka kwanza maana kama alishindwa jikaza kwa saudia sitoaitaajabu akipigwa na PolandArgentina asiwaze ubingwa Kwasababu alifungwa na Saud Arabia
Saivi wawaze walio Qualify tuArgentina asiwaze ubingwa Kwasababu alifungwa na Saud Arabia
Aliingilia ugomvi wa nduguHili kundi B Iran ndio alikuwa mpweke hapa maana USA, WALES na ENGLAND wote ndugu.
Karibu ArgentinaRasmi ni timu Senegal ikifurushwa ndo narudi Brazil..uzalendo kwanza
France alishapita.Leo tarehe 30 Novemba 2022 timu zifuatazo zinaingia 16 bora
1. Denmark
2. Argentina
3. France
4. Saudi Arabia
Nisingekukuta huku leo unaishabikia Ihefu ya mbele ningejiuliza umekipeleka wapi,
Hahaha....😅 Huku Ihefu, huku US, huku pisi Kali nitaacha kweli kunenepa mwaka huu
Huyu mkaka wa [emoji1211] mbna km n kanoute? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mechi za 16 boraView attachment 2431340