Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Mpira Unaujua, Ila Group Stages WatavukaMini ni team Argentina lakini to be honest to myself nilivowaona since game ya kwanza nilijua Hamna kitu pale ni wabovu, hawana mpira wa kuforce kutafuta matokeo hususani wakiwa wamepakiwa basi ndio huwa hawana ujanja kabisa.....
Na akimaliza 2nd position basi France atatufunga si chini ya goal tatu knock out stage....
Kiufupi nipo nao ila najua kuendelea kwake kwa stage za huko mbele ni bahati na sio uwezo maana hana na WC huwezi fika mbali kwa bahati hiyo haipo....
Akipakiwa basi hana penetration pass wala nini....hivi Paul dyabara ni majeruhi???
Umeona eehh kama utani tutasongaaaArgentina [emoji1033] imetukanwa mno humu ndani shenzi type leo tumeonyesha mabingwa wa World Cup 2022 ni kina nani
Quatar ni kubwa tu kama DaresalamaItakuwa chopa
Nyie hamna tofaut na uto tu... mmejikaza sana robo fainali ndio utakua uwezo wenu unapokomeaArgentina [emoji1033] imetukanwa mno humu ndani shenzi type leo tumeonyesha mabingwa wa World Cup 2022 ni kina nani
Yaani wote wamevurugwa,halafu wamesahau Mexico akifunga magoal mengi,wanatolewa. Yani Poland wanaudhi.Hawa poland watolewe tuu sasa mpira gani huu wanacheza hapa...wanatumalizia umeme tuu
Uzuri Wa Sura?Mexico wazur Sana Ni huzuni kuwaona wakiishia hapa
Wababe wenzake ataanza kukutana nao robo na nusu fainaliSema Argentina anakutana na vibonde tu [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] sijapenda
Sema kwa Australia ni easy.Nilitaman Argentina akutane na ufaransa safari yake ingeishia hapo hapo
Timu inayocheza nayo Argentina "Poland" ni DHAIFU saaaana, tunza huu ujumbe utaufufua Argentina atakapopigwa kwenye hatua za mtoano au robo fainal.Argentina [emoji1033] imetukanwa mno humu ndani shenzi type leo tumeonyesha mabingwa wa World Cup 2022 ni kina nani
Bila Shaka utakuwa unatizama mechi kupitia tbcUzuri Wa Sura?
Kubqbababake si ulisema Argentina hakuna kituWanapigwa la tatu hawa
Utachoka pumzika pleasePolland mpira hawagusi leo