FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Weka GGNataka tathmini mkuu,ni nani ana possibility ya kushinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka GGNataka tathmini mkuu,ni nani ana possibility ya kushinda?
Mbona huweki Possibility ya Draw ?!!!Jamani Croatia na Belgium nani anashinda?
Morocco wanaongoza kwa bao 1Mtupe update mechi ya morroco
Safi sanaMorocco wanaongoza kwa bao 1
Belgium anashindaNataka tathmini mkuu,ni nani ana possibility ya kushinda?
Afadhali limekataliwaTuta la mchongo
Itatuchukua miaka mingi sana kufikia hukoWazungu nawaelewa sana. Timu yao haitasonga mbele ila ni wengi uwanjani