goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Sahih Sana kamatiaa Chini hao wanajidai wanajuwa piraa la duniaJapan shikilia hapo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahih Sana kamatiaa Chini hao wanajidai wanajuwa piraa la duniaJapan shikilia hapo hapo
Huyu sister kuna vitu anaongea kwa uhakika wakati havina mantiki. Ufix game kurisk nafasi yako ya kufuzu?Kwani wao hawataki kwenda mtoano. Wee spain walikufanyaga nini?
Wanao tetea waliwa tigo wote wanatolewaJapan shikilia hapo hapo
Hakika ilo Germany na Spain waende nymbn.Itapendeza na costa rica aongeze kimoko
Hakika ndeg ya saa 12:10 am wataondoka nayo tayari confirmedGermany waandae ndege iwapeleke hrk Munich.
Huyu itakuwa ex wake alikuwa mspanyola 🤣🤣🤣🤣Huyu sister kuna vitu anaongea kwa uhakika wakati havina mantiki. Ufix game kurisk nafasi yako ya kufuzu?
Ushoga wao wapeleke home ukoHakika ilo Germany na Spain waende nymbn.
Hata mm nilipenda sana aseeAaaaagh, Costa Rica ongeza lingine tafadhali.
Spain aondoke
Germany anatoka kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]