Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Uruguay mtamsamehe tuu kesho mapema tuu anatokaSafi sana Asia 2, Africa 2, hii ndo world cup, Bado na South America wasituangushe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uruguay mtamsamehe tuu kesho mapema tuu anatokaSafi sana Asia 2, Africa 2, hii ndo world cup, Bado na South America wasituangushe.
Yes ,it was said even before. The news were everywhere.Hii game ya Spain ni fixed
Ya kuuuzaGermany wakafanye biashara wanayoipenda
[emoji181][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndiyo hivyo,hii habari ilivuja tokea longtime,hata waandishi walimuuliza Enrique.
Timu za Africa hukawii kuskia wachezaji wamemsusia kocha.Morroco inawagonga hawa
Yan kama Spain anafikir Morocco mrahis sik iyo anaweza asiamin anachokiona.Jipe matumaini Spain [emoji633] imebaki jina tu hakuna kitu subiri uone game ya Morocco [emoji1173] ntakushtua wanachojua ni kupiga paso 1000 that's it
Mapunga wale mkuu hamna wanaume muleGermany katoka kiume
Tuonyeshe hapa hiyo habari. Yaani hadi wewe umeipata Fifa wakae kimya?Yes ,it was said even before. The news were everywhere.
Kundi hili wanakutana na kundi la kina Croatia na Morocco ama unamaanisha Robo?Spain leo hii ndo wakuwaogopa Argentina na Brazil??
Sizitaki mbichi hizi hioSpain leo hii ndo wakuwaogopa Argentina na Brazil??