Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Uzuri akiwa kwa wazungu. Timu ya taifa ni kapumbavu toka muda.Jordan ni mchezaji mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri akiwa kwa wazungu. Timu ya taifa ni kapumbavu toka muda.Jordan ni mchezaji mzuri
South ndo hawafai hata bureKwanza hawa Ghana hawakustahili kuwepo WC hii. Walibebwa dhidi ya South Africa.
Taja angalau 3 tu...Kuna mechi fix kibao kwenye hilo kombe la dumia
Penati tulipewa, tukakosa wenyewe, leo tunamlaumu Suarez wakati yeye alitaka ipigania nchi yake, akasababisha nchi yake icheze oungufu.Huu ukweli sijui kwa nini waafrica hawataki kuukubali
Bado uatakuja kusema Brazil anapanga matokeo [emoji3][emoji3][emoji3]Ila Spain na Portugal wamepanga matokeo,hakuna ubishi
Spain alimwepa Brazil kiaina na kumuumiza GermanyIla Spain na Portugal wamepanga matokeo,hakuna ubishi
FactPenati tulipewa, tukakosa wenyewe, leo tunamlaumu Suarez wakati yeye alitaka ipigania nchi yake, akasababisha nchi yake icheze oungufu.
Sisi tukapewa Penati, tukapaisha afu leo tutake fanya revenge, eti kwa sasa twafurahia wote kutoshiriki, huu ni upumbavu wa SGR
Senegal wanajitambua sana na naamini Sadio Mane asingepata majeraha magoli yake yangeipeleka timu hatua za juu zaidiKuna watu hapa oooh Ghana wapo vizuri kuliko Senegal, ona sasa
Hii timu inayologa uwanjani? Hii timu iliyojaa siasa?Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi una comedy za kutosha haaa haaa..[emoji23][emoji23]
Watz wanapenda sana mpira hili lipo wazi kabisa, inabidi tukomae na sisi timu yetu ya taifa siku moja ikawakilishe hili bara kwenye hayo mashindano maana hawa tuliowazoea wanazingua....[emoji2][emoji2][emoji2]
Portugal vs SKoreaTaja angalau 3 tu...
Hii hii mkuu, hayo yote yatapita tu na siku moja tushiriki world cup.Hii timu inayologa uwanjani? Hii timu iliyojaa siasa?
Hii timu ya kuunga mkono juhudi?
Mpira ni burudani, na burudani ni kumuona mpinzani akishindwa.Penati tulipewa, tukakosa wenyewe, leo tunamlaumu Suarez wakati yeye alitaka ipigania nchi yake, akasababisha nchi yake icheze oungufu.
Sisi tukapewa Penati, tukapaisha afu leo tutake fanya revenge, eti kwa sasa twafurahia wote kutoshiriki, huu ni upumbavu wa SGR
NI upungufu tu wa akili na kuweza kujua kuwa timu inacheza kukamilisha ratiba Vs timu inacheza kutaka kufuzu ....Portugal vs SKorea
Japan vs Spain
Kwamba Urusi kapiga bomu la nyuklia ulaya yote, tukabaki sisi tu?Hii hii mkuu, hayo yote yatapita tu na siku moja tushiriki world cup.