Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hawa ni kama ma Vixens tu hamna lolote wanalolifanya kutuonesha wako seriousHii Brazil yenu hii ya cute boys wasipoangalia hata South Korea watawafanya kitu mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni kama ma Vixens tu hamna lolote wanalolifanya kutuonesha wako seriousHii Brazil yenu hii ya cute boys wasipoangalia hata South Korea watawafanya kitu mbaya.
Wamerelax utadhani wana points za kuendelelaKiukweli ni kwasababu ni waafrica...ila sina imani na timu zetu, yaani mchezaji wa africa akiwa na mpira mda wowote anaweza nyang'anywa...bora Ghana kidogo wachezaji walikuwa na uwezo wakumiliki mpira tatizo na wao walikuwa hawajitumi kama Cameroon.
Haha...Ki goli kimoja
Anachukua UfaransaHawa ndo Brazil wakuchukua World cup??. Usharobaro mwingi.
We unataka kuleta mechi nyingine humuHaha...
Me sipendagi kimoja jamani...
Sharobaro ana point 7?Hawa ndo Brazil wakuchukua World cup??. Usharobaro mwingi.
Mradi Katoka German na Uruguay Mimi kwatuuuuuIla Spain na Portugal wamepanga matokeo,hakuna ubishi