Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hee!
Kwani wametoka?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yap, hakuna walicho sahau

Viongozi waliokuwa nje ya uwanja walikuwa wanafatilia mechi mbili, ya kwao na ile ya Serbia na Uswizi

Walivyoona hakuna muelekeo wa timu yao kufuzu, walianza kupiga simu makwao kuwa msosi wa kesho mchana watalia huko huko kwao kwa hiyo wakumbuke kuongeza maji ya ugali
 
Waafrika tunasahau mpaka chupi
18+
1670015820600.png
 
Yap, hakuna walicho sahau

Viongozi waliokuwa nje ya uwanja walikuwa wanafatilia mechi mbili, ya kwao na ile ya Serbia na Uswizi

Walivyoona hakuna muelekeo wa timu wao kufuzu, walianza kupiga simu makwao kuwa msosi wa kesho mchana watalia huko huko kwao kwa hiyo wakumbuke kuongeza maji ya ugali
Dah jamani[emoji3064]
Nani kawazidi points tena?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ukimuondoa luis enrique wa spain, sijaona kocha mwengine wa timu ya taifa mwenye mbinu za uhakika.

Makocha wengi wa timu za taifa ni wababaishaji.

Labda ni kwa sababu ya kukosa muda wa kutosha wa kuandaa timu.
Hakika Jombaa. Spain wanakosa mmaliza kazi mzuri mwisho kule. Mchezo wao na Morocco naiona safari yao ikiishia hapo.
 
Back
Top Bottom