uchochoro
Member
- Nov 14, 2020
- 14
- 9
Thank youArgentina na Austalia,Tbc anarusha
England na Senegal saa 4 usiku tbc anaonyesha
Morocco na Spain saa 12 jioni tbc anaonyesha
Brazil na Korea saa 4 usiku tbc anaonyesha
Anza na izo kuzitazama kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank youArgentina na Austalia,Tbc anarusha
England na Senegal saa 4 usiku tbc anaonyesha
Morocco na Spain saa 12 jioni tbc anaonyesha
Brazil na Korea saa 4 usiku tbc anaonyesha
Anza na izo kuzitazama kwanza
Hivi yule Dogo Freddy Adu (So called the Next Pele aliishia wapi); alivyokuwa na miaka 14 alikuwa among the most paid players in US...., ila ndio hivyo tena...
Mkuu hata Haruna Singano alishapewa jina la MessiHivi yule Dogo Freddy Adu (So called the Next Pele aliishia wapi); alivyokuwa na miaka 14 alikuwa among the most paid players in US...., ila ndio hivyo tena...
Mimi Semis kama Brazil atapita, nitaangalia EB25Kuanzia robo fainal mechi zote za kombe la dunia sitaangalia nyumbani ni banda umiza na na Pub tu [emoji91][emoji91][emoji91]
Hasta siempre Brazil [emoji91][emoji91][emoji91]
Alikuwa anafanana nae sura tu sio kiwango 😃Hivi yule Dogo Freddy Adu (So called the Next Pele aliishia wapi); alivyokuwa na miaka 14 alikuwa among the most paid players in US...., ila ndio hivyo tena...
Sprain au spain?Sprain nao tayariiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Semis kama Brazil atapita, nitaangalia EB25
Fainali Ramada Resort
Hiohiooo inayocheza na Japan nawee!!Sprain au spain?
Hio ndio Qatar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Ila mavazi ya mashabiki yanafurahisha ,viremba na kanzu zao😂😂😂😂😂
Shemeji dili na selfika tu mambo ya mpira tuachie sisi Sawa x wanguSpain nao tayariiii
Shem hyo mechi unayoangalia ni marudio bana [emoji23][emoji23][emoji23]Hiohiooo inayocheza na Japan Typing error!
Tuliza mshono chizi mwenye cheti chake milembe 🤣... Sijawahi lipia kifurushi cha 56 Mwezi huu nimejilipua kwa ajili ya WC tyuuuu!!Shemeji dili na selfika tu mambo ya mpira tuachie sisi Sawa x wangu
Hongera shemeji Ila tanesco wana kuzoom tu[emoji23][emoji23]Tuliza mshono chizi mwenye cheti chake milembe [emoji1787]... Sijawahi lipia kifurushi cha 56 Mwezi huu nimejilipua kwa ajili ya WC tyuuuu!!
Ushavuta bange zako Mwehu wa Yolly shororo wa Brazil!!Shem hyo mechi unayoangalia ni marudio bana [emoji23][emoji23][emoji23]