Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Jukwaa la futbol watu mnaleta pigo za ajabu asee dah mnazingua wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HamnaUnaweza vita man
Na wanafiki waliokuwa kutwa wakimbeza watafyata midomo 😊😊😊Hii World Cup 2022 anachukua Ureno(Portugal) ya cristiano Ronaldo na Anastaafu soka Rasmi.
Hifadhi hii comment kwa ajili ya Kumbukumbu
Akikujibu atakuwa na roho ngumu sana na asie na aibuKwahyo ukipewa Haaland na Giroud uchague mmoja kwenye timu yako unachukua Giroud kisa ana world cup?
SawaTuliza mtaro
Akili za kishoga
Mpira tu ndo unafanya mtukanane hivi au kuna mengine? Achen bwanaSawa
Mi nimeachaMpira tu ndo unafanya mtukanane hivi au kuna mengine? Achen bwana
Vamosssss argentina
We jamaa vipi wewe! Khaaa! Korea na Japan wameingia kimchongo?! Yaan kivipi yaan... hebu tuchambulie kauli yako uliyoitoa bila kufikiri kwa shinikizo la mapenzi kwa baadhi ya mataifa au nchi(timu) na hasira za kijinga na chuki za hovyo dhidi ya mataifa(timu fulani)... je! Brazil akifungwa tena na Korea akatolewa utakuwa bado ni mchongo endelevu?! 😃Hizi timu zilizoingia 16 Bora kwa michongo michongo ,kupitia migongo ya watu wengine sijui Korea ,Japan .....wanaenda kupigwa kipigoo cha mbwa Koko [emoji3][emoji3]
Hahahahahahaha! Komredi hata watukanane wewe upo na Argentina tu... hahahaha! Nimecheka sana😂😂😂😂😂😂Mpira tu ndo unafanya mtukanane hivi au kuna mengine? Achen bwana
Vamosssss argentina
Piga ramli mkuu ila utashangaa sanaKwa jinsi nilivyo waona Argentina jana eti ndio wanaenda kukutana na Nedherland Quarter Finals. Asee Messi shughuli yake inaenda kuishia hapo
Sijui watu wanaona Argentina wana makubwa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilidhani unakuja na namba ili ubishi uwe mzuriKwani Argentina ana mpira gani?
Njoo sumbawanga boss ni buku tano tuNahamishia nguvu zangu zote kuisapoti Uholanzi ningekuwa mchawi hata kwa mganga ningeenda kuiroga Argentina isitoboe,ngoja tuone next match hivi unamjua Gapko wewe ?bado De jong dimba la Kati akisambaza upendo hata mtu uwe juu ya muembe pasi inakufikia..
OppsHahaha...!!.
tayari nimekuwa mkubwa naona tu hapa nalima matikiti..!
Wanaokolewa sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Granted?Tusubiri Ijumaa Mdachi hatawaacha salama
Mtamshuhudia Messi akilia km mtoto uwanjani baada ya Game
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja mkuu hawa watoto wa malkia wanarudi.na pajama zao leoKutoka Mtabiri nguli duniani
England 0 : 0 Senegal
30 min added
England 0 : 1 Senegal
England not qualfy
Amka mkuu kumekuchaNdugu zangu usiku wa kuamkia leo nimeota Fainali kacheza Argentina na timu fulani na timu mojawapo ikabeba ubingwa wa dunia kwa bao mbili "2" kwa moja "1"... yaani 2-1 kwa lugha ya kimpira au kimaandishi. Na kwenye hiyo timu ambayo wamebeba ubingwa kuna nyota wao anachukua mchezaji bora wa dunia mwaka ujao yaan (Ballon d' or)
Dua zenu wapendwa ndoto itimie niingie kwenye unajimu rasmi [emoji23]... huenda ni wito huu
ANGALIZO!:- SIO UTANI INGAWA NIMEFIKISHA HAPA KWENYE HALI YA UTANI... ila hiyo timu iliochukua ubingwa nilivoamka niliumia sana kwann imechukua maana siwapendi balaa! [emoji23]