Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwake..Olivier Giroud avunja rekodi ya Thienry Henry ya kuifungia Ufaransa magoli 51
Sasa Giroud kafunga magoli 52 na kuwa mfungaji wa nyakati zote kwa taifa hilo la Ufaransa
France kashinda 3 bila, ila ubao umeandika 3-1Kwani nani alikuwa anacheza leo? Namatokeo yamekuwaje?
Our former chesiii member ๐Olivier Giroud avunja rekodi ya Thienry Henry ya kuifungia Ufaransa magoli 51
Sasa Giroud kafunga magoli 52 na kuwa mfungaji wa nyakati zote kwa taifa hilo la Ufaransa
๐MbappeTeam
CR7
Bruno
Rashford
Mbappe
Wakitoka ntatafuta staa mwingine wa kumshabikia. Tanesco usikate umeme ๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐ Namwambia Melo atoe hiyo accessWakitoka ntatafuta staa mwingine wa kumshabikia. @Tanesco usikate umeme
Leo hujapitiwa na usingizi mpaka sasa, mbona maajabu haya [emoji848][emoji28][emoji419]Mbappe
Buruno kiasi
[emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐๐๐๐ Namwambia Melo atoe hiyo access
Dah, hongera kwa chama jangu...France kashinda 3 bila, ila ubao umeandika 3-1
Kwani mechi hii nayo ni ya kujiuliza mara 2!?Subirini kwanza mmalize kucheza muziki wa England..[emoji23][emoji23]...ndio mtabiri mengine..
Atobolee wapi?Semeni ukweliii
Magoal ya leo ya Mbappe, Messi hatoboi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbappe anatokea wapi sasa?Team
CR7
Bruno
Rashford
Mbappe
Wakitoka ntatafuta staa mwingine wa kumshabikia. Tanesco usikate umeme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana
Huwa siweki akiba, likija mdomoni linapita kama lilivyo[emoji1787]Akiba ya maneno ni nzuri sana....