joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ngojea ni msubirie mwanangu Maguire.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi ni zama za kale. Zama zake ni historia kwa sasa, tunaangalia Kylian kwa sasa.
Mimi sio mchambuzi wa soka, mimi ni shabiki wa mpira. At 35 kwenye mpira usitegemee makubwa tena, zama zimekwisha. Kwenye mpira anaitwa mzee, ingekuwa siasa ndio kinda.Ongea mpira
Huo ulioandika ni ushabiki
At 35+
Kwenye Ligue one
Statistics za messi na mbape hazitofautiani
Respect kwa messi mkuu
Portugal anaweza fika mbali ila kwenye kuchukua simuoniUsikute huyu ndiye mwenye KIKOMBE chake ett 🙂
Ndiyo....Kylian ni sasa...Messi ni zama za kale. Zama zake ni historia kwa sasa, tunaangalia Kylian kwa sasa.
Mimi sio mchambuzi wa soka, mimi ni shabiki wa mpira. At 35 kwenye mpira usitegemee makubwa tena, zama zimekwisha. Kwenye mpira anaitwa mzee, ingekuwa siasa ndio kinda.
Hata Ya Saa Nne Inajulikana, Senegal [emoji1211] Anapiga [emoji304] WaleKuanzia kesho kwenda mbele mpaka final ndo tutapata ladha halisi ya world cup.
Hizi mechi nne za jana na leo ni game ambazo hata kabla hujaangalia unajua matokeo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wamuache kabisa wasimguse🤣🤣Ndiyo....Kylian ni sasa...
Ila mlinganisheni ni vingine huko[emoji1787]
Messi aache tafadhali
Wao wanakuambia ni utamaduni wa kutoa hamasa au motivation kwa lugha ya kigeniNauliza swali....kwann watu wanakumbatiana na kupigana vibao vya matako kwenye hii mechi. Nimeona wachezaji wawili wa poland wakiwa wanaingia...uwanjani. Hapa naangalia wachezaji wa poland na france wanahug na kuspank each other...whites wote naona wameoza.
Brand mkuu, brand ya Messi na Ronaldo ni biashara kubwa. Unakumbuka move ya Beckham kwenda PSG ilivyovuna pesa? Ukiona Ronaldo au Messi anauzwa/ananunuliwa, sio kwa mpira tena, ni biashara.Mzee ambaye kila timu ulaya inamuhitaji?
Aaah basi, hapa naona mahaba..siwezi tenganisha mahaba🤣Ndiyo....Kylian ni sasa...
Ila mlinganisheni ni vingine huko[emoji1787]
Messi aache tafadhali
Dadavua MkuuNaona ufaransa inataka kupita njia ya Brazil ya 1994,1998,2002
Ngoja tuone muingereza leo anatokajeNataman quarter final iwe Sénégal and france
Waafrica wauwane sasa
Akichukua uefa messi atapewa balondiyoooMbappe anatakiwa kuchukua uefa ,ili achukue balondiyoooo
Hawa Ndio Wanaojinyongaga, Wanashindwa Kutenganisha Mahaba na UhalisiaAaah basi, hapa naona mahaba..siwezi tenganisha mahaba[emoji1787]
Sijui nimechelewaje mechi za Leo ni mserereko.Wasee wa BTTS lazima kesho supu iwe na chapati tano, tunavunja mwiko wa chapati mbili kesho[emoji1787]View attachment 2435934