Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ongea mpira

Huo ulioandika ni ushabiki

At 35+
Kwenye Ligue one

Statistics za messi na mbape hazitofautiani

Respect kwa messi mkuu
Mimi sio mchambuzi wa soka, mimi ni shabiki wa mpira. At 35 kwenye mpira usitegemee makubwa tena, zama zimekwisha. Kwenye mpira anaitwa mzee, ingekuwa siasa ndio kinda.
 
Nauliza swali....kwann watu wanakumbatiana na kupigana vibao vya matako kwenye hii mechi. Nimeona wachezaji wawili wa poland wakiwa wanaingia...uwanjani. Hapa naangalia wachezaji wa poland na france wanahug na kuspank each other...whites wote naona wameoza.
Wao wanakuambia ni utamaduni wa kutoa hamasa au motivation kwa lugha ya kigeni

Kwenye hii dunia kuna mengi sana mkuu.
 
Japo dua na maombi yangu ni wale wenye mpira mdomo mkoloni Muingereza atoke ila nikiiangalia Senegal sioni akitoka kwa vitukuu vya mfalme...

Maguire na lile bichwa lake ni kama anakitumiaga akiwa timu ya taifa...
 
Back
Top Bottom