Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupooo ila zote zangu [emoji1787]Timu france piteni hapa tuandike majina yetu tujuane. Hatutaki mamluki tukishashinda...
Angemuqnzisha Ronaldo labda ingekua tofautiKiufupi kocha kazingua na ndo maana alikua na hali ngumu wakati timu iko nyuma kwa goli
Aanze tu😁, Vijana wake wa england lazma wawahi ndege kesho asubuhi 💪,😂😂😂😂
Tunamkaribisha Kwa mabigwa wateule Ufaransa
Dalot kapoteza zile long balls za Fernández karibia zote...Kocha kiazi sana yule Dalot na Felix hawakutakiwa kuanza
Hahaahhahahaha
Tupooooteam England tujuane Morocco ameisha lamba mtu uko
Ndio imeisha hio maskini.Hii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.
Mimi nachanganyikiwa tu, nimebet na mtu mkwanja mrefu niliingiza timu 4 sasa mbili zishaaga mashindano.Mechi ya sa4 nataka eng ashinde
Morroco ataweza kuwamudu eng ila sio france
Yule Dalot cross zote anampa kipa kocha kaja kushtuka muda ulishaishaDalot kapoteza zile long balls za Fernández karibia zote...
Dalot watu wa man utd tunamjua kijana wetu huyu toka mda hawezi piga cross yoyote na haongezi chochote kwenye timuKocha kiazi sana yule Dalot na Felix hawakutakiwa kuanza
Msiopenda tabu tunawaona tunawaona...🤣Tupooo ila zote zangu [emoji1787]
Mimi nachanganyikiwa tu, nimebet na mtu mkwanja mrefu niliingiza timu 4 sasa mbili zishaaga mashindano.
Zimebaki 2 France na Argentina.
Bado nataka na Morocco ashinde, ila mkwanja nautaka pia. Sijui cha kufanya hapa...
Nipo Ufaransa ila Uingereza watawapa shida hawa wafaransa.Kwapa atanyanyua Mbappe, ngoja uingreeza nae achakazwe usiku huu.