Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Okocha anasema anaisapot ufaransa [emoji16]

Ghafla owen Hargreaves amekuww mwekundu

Okocha mbaguzi sana

Inawezekanaje aseme ufaransa ni ndugu zake? Hilo linawezekana vipi
 
Nimedownload limekuja jedwali Lina vingi,online tv,donluchese nk naendeleaje hapa!?..muda huu
Ukiifungua hapo utaona option ya kwanza imeandikwa World cup 2022

Uki click hapo itakuletea list ya servers ambazo zitaonesha hiyo mechi, so hapo ni wee kuchagua server gani ila mara nyingi server ya kwanza ndio inakuwa recommended
 
Yote ni kufata ushauri wa Prof Ten Hag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaaa atamlaumu kocha hadi basi.

Alitakiwa amuanzishe tangu dakika ya kwanza,ili hata wakipoteza basi akose cha kumsingizia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi hata sioni logic behind this, swali la kwanza ni kwanini ananzia bench !?
Simple kwa sababu hawezi kucheza 90min, mechi iliyoisha hakuanza na timu ilishinda sita alipoingia hakufunga watu wakaa kimya...
Leo ety kisingizio ni kutokuanza.
Nilitegemea kwa kuwa ameingia kipind cha pili bas atakuwa ameusoma mchezo na moroco wamechoka afanye maajabu.
Yeye kufanya maajabu ni mpaka aanze kipindi cha kwanza!?
Kitu mnachotafta ni kujustify kwanin Portugal hakustahili kushindwa.
 
Back
Top Bottom