Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Yeyote akishinda kwangu sawa. Hizi zote ni timu za "kiafrika", ingawa France leo ni ya "kiafrika" zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Betting sahv ngumu hasa WC hiiMimi nachanganyikiwa tu, nimebet na mtu mkwanja mrefu niliingiza timu 4 sasa mbili zishaaga mashindano.
Zimebaki 2 France na Argentina.
Bado nataka na Morocco ashinde, ila mkwanja nautaka pia. Sijui cha kufanya hapa...
Uturuki ni mixture ya mzungu na muarabu but ni nchi ya ulaya.Kuna watu wengi tu kama Hohehahe mtumainiye mungu hudhani Waturuki ni waarabu. Waturuki sio waarabu.
Pakistan, Iran, Afghanistan, Indonesia, Malaysia , Brunei Darussalaam zote hizo pia sio nchi za Waarabu.
Chanel gan? Me naskia wanatafsiri English 222Dstv msiwe mnawaweka hawa wasimuliaji wa leo upande wa kiswahili wanaboa tu
Kibwana ndio mtaalamu
Naunga mkono hojaTwende na France hakuna namna
Babu, tangu mwanzo wa michuano hii, mimi nashangilia timu kutoka bara la Africa tu, sijawahi badili msimamo, wanaonijua wanajua hilo.Angefungwa ungekuwa "piga mwarabu huyo" comments zimefika 50..
Limeisha hiloNaunga mkono hoja
Muache Maguire bhnaMaguire kashaanza na offside mapema sio muda atafungisha
Si ule mji wa Kunduchi.Kumbe kuna wakaka humu wana K