Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mimi nachanganyikiwa tu, nimebet na mtu mkwanja mrefu niliingiza timu 4 sasa mbili zishaaga mashindano.
Zimebaki 2 France na Argentina.
Bado nataka na Morocco ashinde, ila mkwanja nautaka pia. Sijui cha kufanya hapa...
Betting sahv ngumu hasa WC hii
Mpira sahv hauna mwenyewe ukija vibaya watu wanakula kichwa angalau magoli over au under unaweza ukaotea
 
Angefungwa ungekuwa "piga mwarabu huyo" comments zimefika 50..
Babu, tangu mwanzo wa michuano hii, mimi nashangilia timu kutoka bara la Africa tu, sijawahi badili msimamo, wanaonijua wanajua hilo.
Tena nilisha tangaza mapema, kua zikitolewa zote sintafuatilia na michuano yenyewe.

Hata juzi baada ya Soufine kuroka kua ushindi ule dhidi ya Hispania ni wa Morocco na waarabu tu, mimi nilikua mstali wa mbele kuwatetea humu, na watu kibao wakaniona mimi kichekesho.

Kauli yangu ni moja tu "Morocco nginja nginja mpaka baharini" nilimaanisha Morocco mpaka fainali na tunachukua ubingwa.
 
Maguire kashaanza na offside mapema sio muda atafungisha
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Magwaya hana mwili wa kiuchezaji mpira kabisa kola akishika wakati mwingine nikimuona na mpira kicheko kinakuja ghafla
 
Back
Top Bottom