Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Zambi ya kuwatenga waafrica haitaishia hapo.
Mungu alipanga kombe lije bara LA africa sasa kombe litabadiri uelekeo na kwenda ulaya.
Ni tabia ya kiafrika.
Utakwepa malezi ya mtoto lkn akifanikiwa unataka yeye akulee na akikataa una mlaani.

Tangu lini tumewatambua wa Morocvo kama wa Afrika wakati tunawaitaga Waarabu?

Waacheni wa Arabu wachukue kombe.
Laana zako zitaishia Korogwe
 
😂😂😂 Suala la Argentina kubeba kombe la dunia mwaka huu halina mjadala. Leteni takwimu hata za ndondo maana hata Saudi Arabia naye aliwafunga mwaka huu, wako wapi?
Ni hivi Captain atakaekabidhiwa kombe tarehe 18 atakuwa hana tattoo.Sasa Mungu kanionyesha. KATI YA TEAM ZITAKAZOINGIA FAINAL TEAM AMBAYO CAPTAIN WAKE HANA TATTOO NDO WATASHINDA HILI KOMBE.
 
Kumekucha sasa
 

Attachments

  • FB_IMG_1670789064376.jpg
    FB_IMG_1670789064376.jpg
    45 KB · Views: 7
Back
Top Bottom