Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Sofiane amrabat wa morroco jamaa chuma sana yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zambi ya kuwatenga waafrica haitaishia hapo.
Mungu alipanga kombe lije bara LA africa sasa kombe litabadiri uelekeo na kwenda ulaya.
Morroco hawakabi mtu Wana Kaba timu nzima. Ndiyo maana hawakuhangaika na mastar wa Spain ama Ureno. Wao walikaba timu nzima. Game plan Yao ni matata sana.PIGA KELELE KWA MOROCCO AKEEEE [emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173]
Ndo yule mwenye kipara?Sofiane amrabat wa morroco jamaa chuma sana yule
Pole in advance!Mimi sitaki kuhama baada ya matokeo nasema hivi morroco apigwe kama ngoma na Argentina nae asichukue kombe nitafurahi Sana.
Ndio huyo na mwenzie namba nane kembamba nako ni kisangaNdo yule mwenye kipara?
Aisee, jamaa wanajua balaa. Uzuri, Morocco ipo Kitimu zaidi yaani haitegemei mtu mmoja.Ndio huyo na mwenzie namba nane kembamba nako ni kisanga
Hapo ndio wanapatia ila yule chedira hapana kocha amuangalie zile nafasi anazokosaAisee, jamaa wanajua balaa. Uzuri, Morocco ipo Kitimu zaidi yaani haitegemei mtu mmoja.
Ni tabia ya kiafrika.Zambi ya kuwatenga waafrica haitaishia hapo.
Mungu alipanga kombe lije bara LA africa sasa kombe litabadiri uelekeo na kwenda ulaya.
Ni hivi Captain atakaekabidhiwa kombe tarehe 18 atakuwa hana tattoo.Sasa Mungu kanionyesha. KATI YA TEAM ZITAKAZOINGIA FAINAL TEAM AMBAYO CAPTAIN WAKE HANA TATTOO NDO WATASHINDA HILI KOMBE.😂😂😂 Suala la Argentina kubeba kombe la dunia mwaka huu halina mjadala. Leteni takwimu hata za ndondo maana hata Saudi Arabia naye aliwafunga mwaka huu, wako wapi?
Mi naungana na WeweeFinal ni Morocco Vs Croatia
Morocco bingwa
PoleKumekucha sasa
Hata angesema Afrika bado mimi nisingemshangilia MorrocoKumekucha sasa