Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama shida ni tattoo mbona utafanya Messi aende kuifutaNi hivi Captain atakaekabidhiwa kombe tarehe 18 atakuwa hana tattoo.Sasa Mungu kanionyesha. KATI YA TEAM ZITAKAZOINGIA FAINAL TEAM AMBAYO CAPTAIN WAKE HANA TATTOO NDO WATASHINDA HILI KOMBE.
Kwenye swala la kubeba kombe kuna mtu kainvest energy kubwa sana alipate ili mradi tu atengeneze rekodi.
Hata ungesema maono yako yameona captain wa timu atayebeba kombe ni mrefu, siku ya mechi watu mngeshangazwa kumuona bwana yule katika muonekano mpya