Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ni hivi Captain atakaekabidhiwa kombe tarehe 18 atakuwa hana tattoo.Sasa Mungu kanionyesha. KATI YA TEAM ZITAKAZOINGIA FAINAL TEAM AMBAYO CAPTAIN WAKE HANA TATTOO NDO WATASHINDA HILI KOMBE.
Kama shida ni tattoo mbona utafanya Messi aende kuifuta

Kwenye swala la kubeba kombe kuna mtu kainvest energy kubwa sana alipate ili mradi tu atengeneze rekodi.

Hata ungesema maono yako yameona captain wa timu atayebeba kombe ni mrefu, siku ya mechi watu mngeshangazwa kumuona bwana yule katika muonekano mpya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Chuki tu, na kukumbatia uzungu, kombe linaweza kwenda Argentina, ni America kusini😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni hivi Captain atakaekabidhiwa kombe tarehe 18 atakuwa hana tattoo.Sasa Mungu kanionyesha. KATI YA TEAM ZITAKAZOINGIA FAINAL TEAM AMBAYO CAPTAIN WAKE HANA TATTOO NDO WATASHINDA HILI KOMBE.
Dunia nzima inasubiria Lionel Messi, captain wa timu ya taifa ya ulimwengu abebe kombe. Atakabidhiwa hata kama itabidi haters wajinyonge.
 
Kama shida ni tattoo mbona utafanya Messi aende kuifuta

Kwenye swala la kubeba kombe kuna mtu kainvest energy kubwa sana alipate ili mradi tu atengeneze rekodi.

Hata ungesema maono yako yameona captain wa timu atayebeba kombe ni mrefu, siku ya mechi watu mngeshangazwa kumuona bwana yule katika muonekano mpya
Ifike muda mkae chini mmalize tofauti zenu wewe na Messi!
 
Mimi sitaki kuhama baada ya matokeo nasema hivi morroco apigwe kama ngoma na Argentina nae asichukue kombe nitafurahi Sana.
Bongo tu ndio swala la Morroco wamechulia siriaz sana kama amewaibia mke wao tena wengine wanafuata mkumbo tu maneno ya vijiweni bila kufuatilia mfano watu wengi nimewasikia kutokana na sakata hili eti "Morroco wamesema wao sio waAfrica ni Waarabu" na wabongo wengi mitaani wanaenda na upepo huo kumbe kosa ni kutoitaja africa kwenye ushindi na wala hawajasema kauli yeyote mbaya kuhusu Africa.

Vilevile kwenye Page kubwa za soka waAfrica wengi wako positive kuhusu swala hili na wanasapoti Morroco ila ukija bongo comments utacheka mpaka upasuke chuki na wivu uliopitiliza ..
IMG_20221212_070610.jpg

IMG_20221212_070730.jpg

Hata kwenye SkySports haijaandikwa Arab team ni Africa team wao kivyovyote no wawakilishi wa Africa tu hata wakitolewa wamejitahidi sana.
IMG_20221212_070646.jpg
 
Bongo tu ndio swala la Morroco wamechulia siriaz sana kama amewaibia mke wao tena wengine wanafuata mkumbo tu maneno ya vijiweni bila kufuatilia mfano watu wengi nimewasikia kutokana na sakata hili eti "Morroco wamesema wao sio waAfrica ni Waarabu" na wabongo wengi mitaani wanaenda na upepo huo kumbe kosa ni kutoitaja africa kwenye ushindi na wala hawajasema kauli yeyote mbaya kuhusu Africa.

Vilevile kwenye Page kubwa za soka waAfrica wengi wako positive kuhusu swala hili na wanasapoti Morroco ila ukija bongo comments utacheka mpaka upasuke chuki na wivu uliopitiliza ..View attachment 2443586

View attachment 2443587

Hata kwenye SkySports haijaandikwa Arab team ni Africa team wao kivyovyote no wawakilishi wa Africa tu hata wakitolewa wamejitahidi sana.View attachment 2443588
Hata peter drury alisema ni waafrica....
 
Zambi ya kuwatenga waafrica haitaishia hapo.
Mungu alipanga kombe lije bara LA africa sasa kombe litabadiri uelekeo na kwenda ulaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE
 
Mimi nilikuwa mshabiki wa Brazil ambaye sikuweka kipaumbele sana kumpa guarantee ya kufika mbali

Hata siku ingetokea Brazil amelutana na France nisingeweza kuwa upande wake kwasababu France ndio timu niliyoipa nafasi kubwa

Hizi zingine kina Morroco, Croatia, Portugal, Senegal nimezishabikia kulingana na opponent wanaye kutana naye

France is where I choose to stay permanently....whenever they in crisis I'll stay by their side
Mmeanza kuyakana maneno yenu
 
Back
Top Bottom